lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

enzi zile za elia - ambwene mwasongwe lyrics

Loading...

enzi zile za elia, israel waliasi walimwacha mungu wao
wakaabudu miungu, ulifanyika mkutano mkubwa
kati ya elia na manabii wa baari, ndipo elia akamtaja
mungu wake kwa ujasiri

(namjua) namjua (mungu w*ngu, yupo hai)
anaishi, (anaishi) mungu w*ngu
(amesema) mungu w*ngu, (nikimwita)
yeye (yeye ataitika) halelluya
(na ijulikane) na ijulikane leo
(yupo mungu) yupo mungu, yupo mungu wa elia
(atujibu) atujibuye (maombi) hata kwa njia ya moto

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...