lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

nitadata - alicios lyrics

Loading...

ooh baba
usinipe wazimu nikashindwa kulala
na tena
uchachu kama ndimu kila siku hasira
mapenzi kama safari
baridi utelezi bado tupo pamoja
mwenzio nimezama
usisikie mapendo unafanya vioja
mwenzako mtumwa
na kwa yako mapenzi natumikia
nione huruma
usije kuniacha ukanikimbia

usinikimbie (vibaya)
usinikimbie hayaa (vibaya)
usinikimbie (vibaya)
usinikimbie hayaa (vibaya)
oooooh

yako mengi sana yakusikia
sina maana utaambiwa
kicheche kinoma
sikupi mapenzi eti mimi nakuibia
unajua mapenzi ni kuridhia
nakupenda asili mia mia
usinipe homa
nitapata simanzi machozi kulia lia
mwenzako mtumwa
yako mapenzi natumikia
nione huruma
usije kuniacha ukanikimbia

usinikimbie (vibaya)
usinikimbie hayaa (vibaya)
usinikimbie (vibaya)
usinikimbie hayaa (vibaya)
oooooh

mwenzako mtumwa
mtumwa weee
nione huruma
huruma weee
mwenzako mtumwa
mtumwa weee
nione huruma
huruma

nitadataaa (vibaya)
nitadataaa (vibaya)
nitadataaa eehey (vibaya)
nitadata usinikimbie (vibaya)
mmmh, mmmh, mmmh
mmmh, mmmh, hey, mmh

usinikimbie
mwenzako mtumwa

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...