tulia - alice otieno lyrics
Loading...
tulia tulia aaah tulia tulia aaah tulia tulia aaah tulia tulia aaah
tulia tulia aaah tulia tulia aaah tulia tulia aaah tulia
nivigumu anajua
tumezoea kujitumainia
lakini nguvu zetu
haziwezi tosha
vita vyetu si vya dunia
ye hataki hela
hataki mwenye cheo
ni wewe tu k*muaminia
atakuponya atakulinda
atakuonyesha ye astahili sifa
moyo w*ngu tulia
usichoke tulia
anafika tulia
atakushika tulia
moyo w*ngu tulia
amani yake ipo sasa
na yeye anaweza
imani paza sauti
Random Song Lyrics :
- darker death redder blood - happy hour (ile) lyrics
- bepresent - rapallo lyrics
- g.o.a.t. - a.t. (lil' bro) lyrics
- dnf'd up - queezy_the_gangster lyrics
- fat jokes - p.c. lyrics
- sábios e bobos / #ensaio2 - carpe diem (ang) lyrics
- líu la líu lo - rhymastic lyrics
- una’t huling pag-ibig (theme from "lolong") - brent valdez lyrics
- moments - touchline lyrics
- dirt - sneezyboi lyrics