washa - ali kiba lyrics
shika moja shika mbili shika now
shika tatu mengine achana nayo
kuna wale wapenda habari zao
hao hao achana nao
acha wacha now, wacha wacha now
toa habari zetu kubwa faida yao
wakileta neno, waambie mwisho wao
huu ndo mwisho wao, uk*mbusho wao
kwani we ndo alpha na omeha wow
usishindane spidi na baiskeli ya mbao
walinipa mwanya nikapiga bao
nishapiga bao, nikashusha bao
washa moto, washa kitu washa (washa)
hater nipe nao mi nataka (washa)
hata kama lumboto nishapata (washa)
washa nao (washa) wachape nao (washa)
washa moto, washa kitu washa (washa)
hater nipe nao mi nataka (washa)
hata kama lumboto nishapata (washa)
washa nao (washa) wachape nao (washa)
washa moto usiogope
wanazeeka wengine wakizaliwa
wakutusema hawaishi na
hamna yeyote wa kusimamisha majaliwa
na say majaaliwa yeah yeah
morale iko juu, pia glass weka juu
na hii hata si ya sikukuu ni kawaida
na mission itaisha nikijua
nimelisha wajukuu wa wajukuu
ndio maana nahustle kukushinda
wakiskia na ball wasiconfuse mimba
eh nani najua unajiuliza, nani kama huyu ninja
ni kama nikiongezewa mtama
wanaongezewa tamaa
nimewaonea kwa mbali sana
naomba msamaha ka nakaa kama sijali
ni kama nikiongezewa mtama
wanaongezewa tamaa
nimewaonеa kwa mbali sana
naomba msamaha ka nakaa kama sijali
washa moto, washa kitu washa (washa)
hater nipe nao mi nataka (washa)
hata kama lumboto nishapata (washa)
washa nao (washa) wachape nao (washa)
washa moto, washa kitu washa (washa)
hatеr nipe nao mi nataka (washa)
hata kama lumboto nishapata (washa)
washa nao (washa) wachape nao (washa)
Random Song Lyrics :
- the siren song - mars ill lyrics
- pop out - avddxct lyrics
- choose - nino blu lyrics
- next 2 u - tarcísio lyrics
- rivers - skandra lyrics
- la mia emme i rmx - blo/b lyrics
- epiphany (traduzione italiana) - taylor swift lyrics
- i gotta curve - skyqru lyrics
- redefine - mars ill lyrics
- prabowo vs jokowi - epic rap battles of presidency - skinnyindonesian24 lyrics