
mahaba - ali kiba lyrics
sikuhizi hakuna mahaba yeh! mahaba
mapenzi ya mkataba mpaka kufa yamekwisha
ni neema tuna hema mapenzi yanachosha yanafuja raha
nafsi yangu inasema bora nimpende tu alonizaa
uchungu wakulia daily
mapenzi yalinifanya nisile
sina k*mbuk*mbu hile kwamba ulinikosha noo!
uchungu wakulia daily
mapenzi yalinifanya nisile
sina k*mbuk*mbu hile kwamba ulinitosha noo!
mwenzako mi nilikufa nikazikwa nikaoza
mapenzi yalinitesa yalinitupa nimefuf*ka yeh!
mi nilikufa nikazikwa nikaoza
mapenzi yalinitesa nimefuf*ka yeeh
sikiliza kwanza we mdada we mdada
mi sio mgeni yalishanikaba mapenzi yalinikausha
natamani kua single ila nnaupwil unanikaba kooh
mabinti wenye vifundo hao ndo mi wananitoa roho
na siri tu ya jambo lile ni kama chakula lazima nile
mi mbovu sana wa jambo lile na ufundi wa kutosha ooh
na siri yake tu jambo lile ni kama chakula lazima nile
mi mbovu sana wa jambo lile na ufundi wa kutosha ooh!
mwenzako mi nilikufa nikazikwa nikaoza
mapenzi yalinitesa yalinitupa nimefuf*ka yeh!
mi nilikufa nikazikwa nikaoza
mapenzi yalinitesa nimefuf*ka yeeh
Random Song Lyrics :
- just a minute - albi (alberto negro) lyrics
- мары - naviband lyrics
- chrome - showjoe lyrics
- anxiety groove - louie zong lyrics
- haifischblut - asche lyrics
- আমি চাইনি এ অনুভুতি - left atrium lyrics
- really lovers - trace lyrics
- i’m happy man - coming century lyrics
- a million shades of sky - mesita (indie) lyrics
- erkinharju twist - peppermint twist - turo's hevi gee lyrics