hatari - ali kiba lyrics
[intro]
yo!
yeah
je t’aime
jimmy x66
[?]
[verse 1: alikiba]
umeni*corruptisha
nilikuwa na ma presha, duh
alinidhalilisha
aliniacha hadharani, hadharani
ninge aga maisha
nilishafikia kikomo
ukanikaribisha ‘kabisa, ukani*adaptisha
[verse 2: alikiba]
umenipendezesha
ukaning’arisha
wachana na yule mbwa mwanzoni
aliye nikondesha
uso ulijawa na vishimo
nikapoteza muonekano
nikaonekana ka kituko
k*mbe yaliyomo yamo, oh
na bado
[pre*chorus: alikiba]
(na bado)
taratibu, mama
tunamuumiza roho
taratibu, mama
atajitoa roho
(na bado)
taratibu, mama
tunamuumiza roho
taratibu, mama
atajitoa roho
[chorus: both]
hatari
hatari
hatari
hatari
penzi
hatari
hatari
hatari
hatari
penzi
hatari
hatari
hatari
hatari
penzi
hatari
hatari
hatari
hatari
penzi
[bridge: jay melody]
oh, woah, oh
oh, woah, oh
wananiita jay
jay once again
[verse 3: jay melody]
another day mimi naye
tuko nyumbani
tunakula chapati na visupu
usiombe akiniita honey
tunaanza vurugu, usumbufu
maumivu sijuagi
ye ndio anayenipa furaha
na wala siteseki
niko angani juu ‘na paa
acheni ‘penzi letu listawi
hamjui alivyo nishika
hatakama akienda mbali
k*mfata hiyo nitalazimika
huu moto
[pre*chorus: jay melody]
taratibu, mama
tunamuumiza roho
taratibu, mama
atajitoa roho
taratibu, mama
tunamuumiza roho
taratibu, mama
atajitoa roho
[post*chorus: alikiba & jay melody]
hatari, (wueh!)
hatari
hatari
hatari, (ulala)
hatari, (ule)
hatari, (ooh, yo)
hatari, (ooh, yeah)
hatari, (hatari)
hatari, (hatari)
hatari
hatari
penzi
hatari
hatari
hatari
hatari
penzi
[outro: jay melody]
ooh, loh, loh, loh…
mmm
ooh, nah, no, no…
ooh…
(instrumentals)
music
Random Song Lyrics :
- lost - brownboi maj lyrics
- where i'm from - wardo lyrics
- wrong line - broken social scene lyrics
- when you gonna come back? - richard walters lyrics
- no time - nugat lyrics
- break up song - pop kulture lyrics
- central drive - lé jitt lyrics
- świat - siwers lyrics
- baby boy - lord felix lyrics
- sabır taşı - yalın lyrics