
angelina - akidee lyrics
do you like to dance (i do, you?)
mwanzo ulivyonikubali nikataka nikupe continent
nikupitishe machimbo wakuone ulivyo fimbo ooh
tena ulivyonikubali nikasema wewe nikupe benz iih
nikupitishe kwa ndimbo, huku niki kuimbia wimbo ooh
we ni gold digger but i love your mind
napenda unavyo waza we
unanipukutisha the way you move your boody
hadi mama tunajikuta kwenye run way, hadi mama
tunajikuta kwenye balcon
hadi mama tunajikuta kwenye bangalow, hadi mama
tunajikuta kwenye bank eeh
hadi mama tunajikuta kwenye investiments, story of my life
msimulizi wewe ni we nakungoja am ready
baby am ready eeeh
am ready
angelina ujue mi nna uchizi now
angelina ujue mi nna uchizi noooow
sauti yako ikisikika mi nastuka
sauti yako ikisikika mi nastuka
angelina ujue mi nna uchizi now
angelina ujue mi nna uchizi noow
angelina uh uh uh uh uh uh
angelina uh uh uh uh uh uh
proffesor wa love mambo ya kupumzisha, napiga fix mbaya unaniacha najirusha
kuja mbili mbili (eh) eka eka bidii (eh) come dede uchuchumae kwa diriii
nna wachezaji wengi kwenye maji nimekutafuta wewe tu uuh
nimekosea sanitizer kama maji, wewe tu uuh
nimeanza na baby pana, naweka dibala, african beuty, dodo kiba la
hadi mama tunajikuta kwenye run way, hadi mama
tunajikuta kwenye balcon
hadi mama tunajikuta kwenye bangalow, hadi mama
tunajikuta kwenye bank eeh
hadi mama tunajikuta kwenye investiments story of my life
msimulizi wewe ni we nakungoja am ready
baby am ready eeeh
angelina ujue mi nna uchizi now
angelina ujue mi nna uchizi noooow
sauti yako ikisikika mi nastuka
sauti yako ikisikika mi nastuka
angelina ujue mi nna uchizi now
angelina ujue mi nna uchizi noow
angelina uh uh uh uh uh uh
angelina uh uh uh uh uh uh
Random Song Lyrics :
- rockixe - raul seixas lyrics
- jij weet - valsbezig lyrics
- golden state - james durbin lyrics
- tides - carcer city lyrics
- dreams - nuworld kayo lyrics
- milky way - jbj95 lyrics
- black vegeta - mastamiind lyrics
- battere il ferro finché è caldo - m¥ss keta lyrics
- house of mirrors - dd caine lyrics
- the ambassador - omie lyrics