lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

post election blues - airconditionerke lyrics

Loading...

tired of being tired of being tired of being tired
tumechoka kuchoka

tumechoka kuchoka na gava
wanaotuwakilisha hawatujali
tumekasirishwa na utawala
nchi yetu yaonekana kuendelea kuzorota
tumeshikwa na gathabu
chaguo letu la viongozi ni uovu na tamaa
oh gathabu
mambo hayabadiliki, yazidi kuzorota

wanauza nchi yetu wakijaza vitambi
watuzuia tusipate uhuru wa akili
ukora ni kawaida, jangili hawajali
wasiyezaliwa wakona deni tayari

hakuna matumaini
hakuna matumaini

hakika nikutizama ikiteketea
vichwa tutaangusha katika kizazi chetu
hatutasitishwa katika maisha yetu
hakika nikutizama ikiteketea

chase these lying cowards out of town
this system has overrun its time

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...