lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

nitunzie - ailavoice lyrics

Loading...

oouu, heiyeei
aiiaaah, heiyeeeh
oou oo oouh

unitunzie madhifu yangu yote
nitunzie, sijakamilika
unitunzie madhaifu yangu yote
nitunzie, sijakamilika
aaaiyaaah
unitunzie madhaifu yangu
nitunzie madhaifu yangu
nitunzie madhaifu yangu
nitunzie madhaifu yangu

ninajua kuna vingi unavyovitaka ila ninajitahidi
nisipokamilisha usikasirike, ninajitahidi
najua kuna mengi unayoyapenda
nunu najitahidi

nisipokamilisha usikasirike ninajitahidi
unitunzie madhaifu yangu
nitunzie madhaifu yanngu
nitunzie madhaifu yangu
nitunzie madhaifu
nitunzie
madhaifu yangu yote nitunzie
nakiri sijakamilikaa

tabibu wa hofu zangu, regulator wa moods zangu
kuna saa sijiamini kabisa ila unanitunishha tu tu tu

unajua kunivimbisha, umenimilikisha kabisa
nami naahidi kulipa fadhila nitapunguza ku nuna nuna baby uuu
nitunzie madhaifu yangu
unitunzie madhaifu yangu

unitunzie madhaifu yangu yote
nitunzie,sijakamilika
nitunzie madhaifu yangu nitunzie sijakamilika
nitunzie madhaifu yangu
nitunzie madhaifu yangu

nitunzie madhaifu yangu
nitunzie madhaifu yangu
nitunzie madhaifu

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...