nipekeche - adasa lyrics
nakuita beb
kwako ni mimi kwengine siwezi
sisemi mengi
nabaki bubu mwishowe crazy
nikikuona sishikiki eeh
nabaki zuge nawe
hata kukula mi nakula nawee beb niamini
sababu si uchizibu ni kupendwa nimependwa nawe
na mamangu akuniuliza tu am gonna tell her why i love you bu
baba achik*mala na ambea mafune nyama
vidzakala kuhenzana taratibu si haraka
nakuhenza dedee nzo unitsukule i love you
nakuhenza dedee nzo nzo unitsukule i love you
nipekeche nipekeche (nipekeche)
nipekeche e nipekeche (nipekeche)
nipekeche mi nipekeche (nipekeche)
nipekeche e nipekeche (nipekeche)
nipekeche mi nipekeche (nipekeche)
nipekeche e nipekeche (nipekeche)
nipekeche we nipekeche (nipekeche)
nipekeche o nipekeche (nipekeche)
naomba unishikee popote napotaka
kileleni nifikee (eeh) mwenzako hoi natapatapa
nipee nikupe (haiyah) paka pale ntanogewa
simu usishushe (haiyah) ama mi nitakolea
mwenzako fan wa mapenzi kutendwa siwezi shapata kedekea
nasitishiki ukicheat najua mpenzi we w*ngu utarejea aaah
sababu si uchizibu ni kupendwa nimependwa nawe
na mamangu akuniuliza tu am gonna tell her why i love you bu
baba achik*mala na ambea mafune nyama
vidzakala kuhenzana taratibu si haraka
nakuhenza dedee nzo unitsukule i love you
nakuhenza dedee nzo nzo unitsukulee i love you
nipekeche nipekeche (nipekeche)
nipekeche e nipekeche (nipekeche)
nipekeche mi nipekeche (nipekeche)
nipekeche e nipekeche (nipekeche)
nipekeche mi nipekeche (nipekeche)
nipekeche e nipekeche (nipekeche)
nipekeche we nipekeche (nipekeche)
nipekeche o nipekecheee (atiiii)
henda vino
henda vino (hahaah)
henda vino eeeh enda vino (ache eeh)
henda vino (ache)
henda vino
henda vino ee henda vino
nipekeche (eh)
nipekeche (eh)
nipekeche eeh nipekeche (alume huwoooh)
nipekeche (ah)
nipekeche (hah)
nipekeche eeh nipekeche (hah)
henda vino (hah)
henda vino (hah)
henda vino eeh henda vino (hah)
henda vino (ah)
henda vino (nipek)
henda vino eeh henda vino
Random Song Lyrics :
- broken - happyforyou mix - grapefruit sound lab lyrics
- sonhos - berg red$tar lyrics
- if i had your love - sophia ayana lyrics
- soldier of fortune - giacomo voli lyrics
- mr smooth - redtheshow lyrics
- corazón - magic city hippies lyrics
- ni bo l'anlo - bantu (crew) lyrics
- mörderrap ii - tony d & fuhrmann lyrics
- the last roundup - the feelies lyrics
- -10 km di viaggio - andrea pula lyrics