tukumbukane - acitee lyrics
unik*mbuke sana takuk*mbuka tuk*mbukane iwe k*mbuk*mbu tu unik*mbuke takuk*mbuka tuk*mbukane iwe k*mbuk*mbu tu
ninafuta jozi langu ni lini tutaona tena pumzi langu mwendo wa kasi ninapokuwazanga,, kizunguzungu pressure unanipa mie amani sina mawazo tu kwenye ndoto picha zako nakuwaza tu usinifutilie mbali mi bado nakupenda sana wasije kukulaghai wenye wivu kanitenga mie ila moyo na imani tutaonana tena….
unik*mbuke sana takuk*mbuka tuk*mbukane iwe k*mbuk*mbu tu unik*mbuke takuk*mbuka tuk*mbukaneee iwe k*mbuk*mbu tu
muda unayoyoma mie mwenzako nko hoi lini utarejea angalau nienjoy kama taswira nikuonapo moyo watulia kipenzi changu jeraha la moyo we ndo tiba w*ngu njoo nikudekeze usije kakosa chochote ama tuvuke border manukato vya bei usikose njoo njoo mgeni njoo mwenyeji nipone njoo njoo mgeni njoo mwenyeji nipone
unik*mbuke sana takuk*mbuka tuk*mbukane iwe k*mbuk*mbu tu unik*mbuke takuk*mbuka tuk*mbukaneee iwe k*mbuk*mbu tu
Random Song Lyrics :
- memory - leav/e/arth lyrics
- a que no me dejas - natalia aguilar feat. oscar díaz de león lyrics
- must be you - the sun (american band) lyrics
- my whole life - erin kalin lyrics
- halka halka (from "raees") - shreya ghoshal, sonu nigam & ram sampath lyrics
- khorasani - rastaak lyrics
- proud of your boy - carlos penavega lyrics
- empty promises - voices and vessels lyrics
- おもちゃの兵隊 - mrs. green apple lyrics
- 94 dreaming - ato lyrics