mtoto kitu na box - abdul misambano lyrics
katika watu muhimu huyu ni number 1
mambo yake bambam yaliyokwenda shuleni
katika watu muhimu huyu ni number 1
mambo yake bambam yaliyokwenda shuleni
yeye ndi mtaalam haswa kwa mambo fulani
siri yangu kifuaniii
yeye ndi mtaalam haswa kwa mambo fulani
siri yangu kifuaniii
penzi lake haliniishi hamu
hata nipewe mara k*mi
nak*mokosa ni haramu heri niende kaburini
penzi lake haliniishi hamu
hata nipewe mara k*mi
nak*mokosa ni haramu heri niende kaburini
mtoto kitu na box chaguo langu ni wewe
mtoto kitu na box chaguo langu ni wewe
mtoto kitu na box chaguo langu ni wewe
mtoto kitu na box chaguo langu ni wewe
nipe bila wasi ewe w*ngu kipusa
nipe hiyo nafasi mwenzio nimepagawa
tena nipe bila force niseje changanyikiwa
wewe nipe mpaka niseme basi
kwako mpenzi ni wewe
nataka kujinafasii
kwako penzi lako wewe
nataka kujinafasii
kwako mpenzi ni wewe
jinsi anavyojitumaa si mvivu yeye mapenzini
mtoto mambo kayavumaa utadhani kitu gani
jinsi anavyojitumaa si mvivu yeye mapenzini
mtoto mahaba kayavumaa utadhani kitu gani
anaii chezaa ngoma kwa ufundi wa kipwani
kwa ufundi wa kipwani
anaii chezaa ngoma kwa ufundi wa kipwani
kwa ufundi wa kipwani
wallah huwa na hela anibanapo mwilini
ataj*po jina langu misambano huwa taabani
wallah huwa na hela anibanapo mwilini
ataj*po jina langu mwezenu huwa taabani
mtoto kitu na box chaguo langu ni wewe
mtoto kitu na box chaguo langu ni wewe
mtoto kitu na box chaguo langu ni wewe
mtoto kitu na box chaguo langu ni wewe
nipe bila wasi ewe w*ngu kipusa
nipe hiyo nafasi mwenzio nimepagawa
tena nipe bila force niseje changanyikiwa
wewe nipe mpaka niseme basi
kwako mpenzi ni wewe
nataka kujinafasii
kwako penzi lako wewe
nataka kujinafasii
kwako mpenzi ni wewe
anaponipa tunda nyama zetu za ulimi huwa laini
hubaki mimi k*mganda sibanduki mimi mwilini
anaponipa tunda nyama zetu za ulimi huwa laini
hubaki mimi k*mganda sibanduki mimi mwilini
nikitizama kibinda kajazia wastani
nikitizama kibinda kajazia wastani
hulazimika k*mlinda asitoke mw*ngu chumbani
mtoto huyu mapenzi yake yana raha kama nini
hulazimika k*mlinda asitoke mw*ngu chumbani
mtoto huyu mapigo yake sijui kafunzwa na nani
mtoto kitu na box chaguo langu ni wewe
mtoto kitu na box chaguo langu ni wewe
mtoto kitu na box chaguo langu ni wewe
mtoto kitu na box chaguo langu ni wewe
nipe bila wasi ewe w*ngu kipusa
nipe hiyo nafasi mwenzio nimepagawa
tena nipe bila force niseje changanyikiwa
wewe nipe mpaka niseme basi
kwako mpenzi ni wewe
nataka kujinafasii
kwako penzi lako wewe
nataka kujinafasii
kwako mpenzi ni wewe
viw*ngoo viw*ngo babuu
jamani nimezidiwa mie
nampenda kulikoni woote
mimi nimepagawa jamaa
nampenda kulikoni woote
aaah usinishike bega
kitu na box yuko hapahapa
mimi usinishike bega
kitu na box yuko hapahapa
jamani nimezidiwa mie
nampenda kulikoni woote
mimi nimepagawa jamaa
nampenda kulikoni woote
aaah usinishike bega
kitu na box yuko hapahapa
mimi usinikonyeze
kitu na box yuko hapahapa
njoo mpenzi w*ngu unipe mambo
njoo mpenzi w*ngu unipe mambo
njoo mpenzi w*ngu unipe mambo mimi
njoo mpenzi w*ngu unipe mambo
ooohh maliza mitindo yote uwanja sasa ni wako
maliza mitindo yote uwanja sasa ni wako
wewe maliza mitindo yote uwanja sasa ni wako
maliza mitindo yote uwanja sasa ni wako
njoo mpenzi w*ngu unipe mambo
njoo mpenzi w*ngu unipe mambo
njoo mpenzi w*ngu unipe mambo mimi
njoo mpenzi w*ngu unipe mambo
ohh maliza mitindo yote uwanja sasa ni wako
maliza mitindo yote uwanja sasa ni wako
wewe fanya fanya mambo yoote mimi sasa ndie wako
wewe fanya fanya mambo yoote mimi sasa ndie wako
huyo mtoto namzimia kitu na box namzimiaa
wakati majambo ukatika katikati kaaah
kwa maneno kwa mashairi
lyrics by baraka bakari mismbano
Random Song Lyrics :
- ridin w the chrome - jeffer sawyer lyrics
- cachorro maconheiro - mc bangu lyrics
- into the abyss - permutation lyrics
- в питере (in st. petersburg) - джарахов (dzharakhov) & the hatters lyrics
- everywhere - toby rose & zita lyrics
- ein traum - bosse lyrics
- mi ciencia - mic aberración lyrics
- paradise - jay (김진환) lyrics
- скрежет (skrezhet) - птички в глитче (ptichki v glitche) lyrics
- birth of blues - joshua morris lyrics