mpenzi - abdallaza lyrics
uhhhhh
ahhhhh
weeeeh
wendo nikupenda penda pepepeee
wendo mpenzi nikupendae wmengine achana nae (achana nae)
hivyo basi nielewe (yeah) tuwe pamoja me nawee
wendo mpenzi nikupendae wmengine achana nae (anh)
hivyo basi nielewe (yeah) tuwe pamoja me (yeah) nawee (eehwe)
you got power you got sound you got move ma boo
ukipita kwenye mtaa wateka wengi ni true
kweli we ndio super number one boo
nakama kuna compee bado sijaiona doo
napenda nikutoe out beach za majuu
ama nkununulie gari usitembee kwa mguu
twende kila sehem nakufanya makuu
nayoyote anae kuudhi mtw*nge na kungfu
we ndo queen yani super full of love
zawadi nini nini that′s what you deserve
when i see you, you affect my nerves
that’s why najua kwenye life nita ku serve
we ndo queen yani super full of love
zawadi nini nini that′s what you deserve
when i see you, you affect my nerves
that’s why najua kwenye life yani nita ku serve
wendo mpenzi nikupendae wmengine achana nae (wachana nae)
hivyo basi nielewe (yeah) tuwe pamoja me nawee
wendo mpenzi nikupendae wmengine achana nae
hivyo basi nielewe tuwe pamoja me nawee (eehwe)
verce
yangu ya pili bado me nakusifia
umepewa macho mazuri yale yakusinzia
figa namba nane nilokua naiwazia
hata nkakuona malaika kwenye hii dunia
mzuri ka beyoncé ila umemshinda na mwanya
figa yako yani tamu ukiilinganisha rihanna
sauti ka ya nyota ila yako nyororo sana
ndomana fanya lolote yani niwe wako bwana
sitojali utanipa love ama utataka pesa
bora nikiwa nawe kila sehemu utatesa
stay na whyne p yani life bila presha
hata haters watamani yani mate tu k*meza
kujuana na we that’s fab nlishukuru
kwajumba la upweke ni wazi ulini nusuru
hata ukinitusi sitamind haito dhuru
as long niko na wee najua utajifeel huru
wendo mpenzi nikupendae wmengine achana nae (wachana nae)
hivyo basi nielewe (yeah) tuwe pamoja me nawee
wendo mpenzi nikupendae wmengine achana nae (anh)
hivyo basi nielewe (yeah) tuwe pamoja (yeah) me nawee (eehwe)
your the one that i need in my life for sure
ulipo fika wewe sio girlfriend you my wife
my super duper queen
you took away my heart
umenituliza makini hadi siyumbi mtanashati
wendo mpenzi ulo win langu pendo
mwengine achana nae usiskize zao scandal
listen ma i′m your number one fan
kama kama ben pol nimefall
me kicha wendo doctor you gave me control
yeah
as you nishakutana na madem kibao
sijali uzuri wao nafanya yangu kazi
wala sina mpango nao
so usiteteruke moyo wako uteseke moyoni (iweee)
usiku wa manane unapo lala pekeo
(moyo usiteseke)
(moyo usiteseke)
nimem kiss penginepo kwenye video
tumeimba nyimbo za mapenzi na nyota ndogo
umejenga msimamo kwako weeh
wendo w*ngu mtazamo eco
weeeh
nmejenga msimamo kwako wewe
wendo w*ngu mtazamo eco
baby (iiiiih oh oh oh yeah)
yeah
anhh
it′s producer baindo
is the bigfoot production
yeah
it’s whyne p and pata flavour
anhh
abdallaza
yeah
ediboy
hahaa (yeah)
Random Song Lyrics :
- active - kayyworkzz aycee lyrics
- let me breathe - soul unseen lyrics
- facile - sloan lucas lyrics
- ascension - dissenter lyrics
- honda - soulex lyrics
- like i would (dave audé remix) - zayn lyrics
- wooly minded - ryan power lyrics
- abmshine - chip greatness lyrics
- splash - jmk$ lyrics
- nobody taught me - barbie lyrics