lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

try - 4mr frank white lyrics

Loading...

[intro]
mmmh
back again, back again
k k, you know
ahuh
listen
k

[verse 1]
me natry, me natry
me natry, me natry
me natry, me natry

me natry kila kitu ndo nitumange ka kitu
sai siko poa, ndo maana nko mavitu
daily me nagrind, nko busy kila siku
so nkiwasn0b, mnajua sina kitu
natry kila kitu, natry kila siku
aih
ndo nitumange ka kitu
sai siko poa, ndo maana nko mavitu
daily me nagrind, nko busy kila siku

[chorus]
natry kila kitu, natry kila siku
aaih
me natry kila kitu
natry kila siku
natry kila kitu
aih me natry kila kitu

[verse 2]
me natry kila kitu ndo nitumange ka kitu
siko poa, ndo maana nko mavitu
daily me nagrind, nko busy kila siku
so nkiwasn0b, mnajua sina kitu

aah

chapia mathe me try
angalau nishike ndae
ilikua imandikwa so, no body can deny

nikicome home, izo shida zote bye
set kila kitu, tunaeza fika, ata dubai, aaih
bills on me, kila kitu nitabai

[bridge]
me natry kitu
juu area akuna kitu
nikistep budangu alikua mavitu
daily ananicall ananitisha kakitu
ndo maana me chizi
ndo maana nko mavitu
wakini beep, family affairs na
kama sina kitu, they really don’t care
na nkikosa pick, i don’t wanna go there
mathe ananishw aty, daily ananiombea

[chorus]
so natry kila kitu
kupush kila siku, aaih
ndo maana nko mavitu
ndo maana nko ma

[outro]
me natry kila kitu ndo nitumange ka kitu
sai siko poa, ndo maana nko mavitu
daily me nagrind, nko busy kila siku
so nkiwasn0b, mnajua sina kitu
natry kila kitu, natry kila siku
aih
ndo nitumange ka kitu
sai siko poa, ndo maana nko mavitu
daily me nagrind, nko busy kila siku

natry kila kitu, natry kila siku
aaih
me natry kila kitu
natry kila siku
natry kila kitu
aih me natry kila kitu

me natry kila kitu ndo nitumange ka kitu
siko poa, ndo maana nko mavitu
daily me nagrind, nko busy kila siku
so nkiwasn0b, mnajua sina kitu

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...