
back pain - 4mr frank white lyrics
**intro**
na suffer back pain
juu game nime carry
mvp n*gga, me ndo steph curry
naeza kick ass, me ndo jeff hardy (wachaaa)
juu ka n barz na flow ninazo kali kali
**verse 1**
nkidrop diligent, 2 lazima mtaniknow
straight fire barz, nilazima mkabe koo
next year majaliwa
staki story ya rentals
black man winning, nilazima nistand tall
nawaingiza kama black ball
me king ndani ya castle
naspread ka virusi (mbaya), lazma mmeze capsules (madawa)
barz n kibao, aaih na siko tipsy
zinoverflow, baki traki nyashinski
na kama si mimi, haiwezi kua nyinyi
naomba mnikome, mwache pararira nyingi
**chorus**
na suffer back pain
juu game nime carry
mvp n*gga, me ndo steph curry
naeza kick ass, me ndo jeff hardy (wachaaa)
juu ka n barz na flow ninazo kali kali
**verse 2**
na reminisce, take me back sku za nyuma
nil*piga ka less adi guanda ikauma, hakukuwa deep heat
si tulipaka kaluma
deep sh*t ndo inafanya najituma yoh
bado mokoro anadai kеja yake, ah
bado wasoro wanadai ati ni pake, ha
jah jah alishanililia na ndo manaake
hii simu ikilia ni mboka na ni ya pakee
nko maaali wanadai sifai
hawadai nkitry
mahasidi wanadai kunichai
wapharisai si ata yеsu walicrucify
walifumble i testify
mpanda ngazi huskii hashuki
jeshi ni ya jah hatutambui izo chuki
hi ni ya wale wa i wanna bee ka nyuki
mungu na bidii ndo inafanya sishtuki
aki walae
**chorus**
na suffer back pain
juu game nime carry
mvp n*gga, me ndo steph curry
naeza kick ass, me ndo jeff hardy (wachaaa)
juu ka n barz na flow ninazo kali kali
Random Song Lyrics :
- socorro - petrichó lyrics
- step into the water - jeangu macrooy lyrics
- attached - mickey blue lyrics
- confrontation - frank wildhorn lyrics
- ancient villain - coolboifre$h lyrics
- through wind and snow - ithilien lyrics
- c.h.a.r.l.e.s. - rushden & diamonds lyrics
- 夫妻臉 - ponso feat. 蕭小m lyrics
- 算命小司 - 少司命 lyrics
- cenizas del capitalismo - no konforme feat. segismundo toxicómano lyrics