
acha kuroroa - 17trabo lyrics
acha kuroroa
strapped up, barakoa
leo futhi na nyoa
venye nimejaa, siko shule
back to school magoa
nilianza jim day ya pilli joh nika jiondoa
nilikuaga broke kila siku buda nilkua naokoa
ka ni glock mi natoa, usiulize nimetoa?
shawty ameiva akona haga,lakini anangoa
nganya imesima chuma heavy, buda hii si noah
leo tumelipwa swipe kivisa maganji natoa
hook
acha kuroroa, acha kuroroa
walinitoka sai nimeomoka account inablow up
acha kuroroa, acha ku
sai mnakopa, nilidhani mliomoka
buda ni chocha
buda usichafue rada
mbona unanibebaga fala
unasemaga unakam
mi natokea, mi nakuhata
nacall tenje, unadai ulikua janta
christmas come early
buda nafeel ka tu santa
hook
acha kuroroa, acha kuroroa
walinitoka sai nimeomoka account inablow up
acha kuroroa, acha ku
sai mnakopa, nilidhani mliomoka
buda ni chocha
Random Song Lyrics :
- fireflies - city&shivers lyrics
- usa - jeff rosenstock lyrics
- calentando la habana - chacal lyrics
- real youths - fantan mojah lyrics
- feels like a weight has been lifted - quicksand lyrics
- 2017 k-pop songs (alphabetically) - k-pop genius lyrics
- empire (feat. bingx) - asking alexandria lyrics
- last classic - love spirals downwards lyrics
- hair dye - clairo lyrics
- 大人になる前に - ngt48 lyrics